KANSA IMEMPA UMAARUFU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM

Wakati alipokuwa akiugua saratani ya titi, Alison Habbal alikuwa akihisi kisunzi na kuchoka. Akiwa miaka 36 wakati alipoanza kuugua ugo...

Wakati alipokuwa akiugua saratani ya titi, Alison Habbal alikuwa akihisi kisunzi na kuchoka.

Akiwa miaka 36 wakati alipoanza kuugua ugonjwa huo, Alison ambaye ni raia wa Sydney alijua kwamba atapoteza nywele zake na titi lake.

Mpango wa kutengeza titi jingine kupitia upasuaji wa kutumia plastiki haukumvutia.

Sikutaka kuwekwa titi bandia kutoka kwa ngozi ya watu wengine ,niliona niweke tatoo ,alisema.

Wakati wote nilipokuwa mgonjwa niliwatafuta wachoraji tatoo katika mitandao,aliongezea.Na baada ya majadiliano marefu niliamua kumpa kazi ya uchoraji huo msanii kutoka New Zealand, Makkala Rose, mwenye umri wa mika 23 .

Tatoo hiyo ilichorwa mjini Melbourne kwa saa 13 mnamo tarehe mosi mwezi Julai.

Alison alifurahia kazi hiyo na akaamua kuchapisha picha yake katika mitandao ya Instagram na facebook.

Hatua ambayo ilimpatia umaarufu mkubwa miongoni mwa wateja wa mitandao hiyo.Wengi walisifu wazo lake.

COMMENTS

Gossip
Name

Afya Gossip Lifestyle Love News Photos Shamsa Ford
false
ltr
item
Skendo za Town: KANSA IMEMPA UMAARUFU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
KANSA IMEMPA UMAARUFU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSOUcJCTxWFSOUviTWjAmgbj_B57U9thLYfqXdT5hQqsJaPr6Nb24FrC9OQV2lbbIaYN3cY6Zj3B3Z3oEZaTWmZ_Qs4CnTkpwe0BkDVS4lXlDI0mS_jSp0wczcW4_OzeZztEQZgATKglI/s1600/7be225_7e1f82c8a33d489181160176d89e7204-mv2-640x640.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjSOUcJCTxWFSOUviTWjAmgbj_B57U9thLYfqXdT5hQqsJaPr6Nb24FrC9OQV2lbbIaYN3cY6Zj3B3Z3oEZaTWmZ_Qs4CnTkpwe0BkDVS4lXlDI0mS_jSp0wczcW4_OzeZztEQZgATKglI/s72-c/7be225_7e1f82c8a33d489181160176d89e7204-mv2-640x640.png
Skendo za Town
https://skendozatown.blogspot.com/2016/08/kansa-imempa-umaarufu-kwenye-mtandao-wa.html
https://skendozatown.blogspot.com/
http://skendozatown.blogspot.com/
http://skendozatown.blogspot.com/2016/08/kansa-imempa-umaarufu-kwenye-mtandao-wa.html
true
2217560320485488389
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy