BEYONCE ATISHA KWENYE TUZO ZA MTV MAREKANI

Mwanamuziki wa Marekani Beyonce alitawala tuzo za muziki za MTV mjini New York siku ya Jumapili akijipatia mataji saba. Msanii huyo ali...

Mwanamuziki wa Marekani Beyonce alitawala tuzo za muziki za MTV mjini New York siku ya Jumapili akijipatia mataji saba.

Msanii huyo alijishindia tuzo kubwa katika tamasha hilo kwa kujishindia video ya mwaka kwa nyimbo yake ‘Formation’ ambayo inataja ubaguzi wa rangi,utumiaji wa nguvi kupitia kiasi unaofanywa na maafisa wa polisi pamoja na kimbunga Katrina.

Beyonce aliwasili katika tamasha hiyo na mama zao wanaume wanne Wamarekani weusi ambao vifo vyao vilizua hisia kali.

Msanii wa pili aliyeteuliwa katika tuzo hizo Adele hakujishindia kitu.

Msanii Rihanna alitunukiwa tuzo ya mchango wake katika usanii kufikia sasa akiwa na umri wa miaka 28 pekee.

COMMENTS

Gossip
Name

Afya Gossip Lifestyle Love News Photos Shamsa Ford
false
ltr
item
Skendo za Town: BEYONCE ATISHA KWENYE TUZO ZA MTV MAREKANI
BEYONCE ATISHA KWENYE TUZO ZA MTV MAREKANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbhciaL8AqehEyWsSy91z5xoBogpfosz9U0TWaZ9D_7LqrsmAQ6lenV7aIC3g3KrkAvkfrw0Bc69S81MpsxHp4L7347cwsOIQWQR7IGoR58uHVCPM7k_fSS9eSYzdBJgcEmxM9648VPOA/s1600/_90958022_beyonceb.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbhciaL8AqehEyWsSy91z5xoBogpfosz9U0TWaZ9D_7LqrsmAQ6lenV7aIC3g3KrkAvkfrw0Bc69S81MpsxHp4L7347cwsOIQWQR7IGoR58uHVCPM7k_fSS9eSYzdBJgcEmxM9648VPOA/s72-c/_90958022_beyonceb.jpg
Skendo za Town
https://skendozatown.blogspot.com/2016/08/beyonce-atisha-kwenye-tuzo-za-mtv.html
https://skendozatown.blogspot.com/
http://skendozatown.blogspot.com/
http://skendozatown.blogspot.com/2016/08/beyonce-atisha-kwenye-tuzo-za-mtv.html
true
2217560320485488389
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy