Faiza Awataka Wasichana Kuwakimbia Wanaume wa Namna hii…

Msanii wa filamu Faiza Ally amewataka wasichana wenzake kuwakimbia wanaume ambao wanawataka wasichana ili kufanya nao mapenzi kinyume na m...

Msanii wa filamu Faiza Ally amewataka wasichana wenzake kuwakimbia wanaume ambao wanawataka wasichana ili kufanya nao mapenzi kinyume na maumbile.
Faiza Ally

Muigizaji huyo ambaye yupo mbioni kuachia filamu yake mpya ‘Baby Mama Drama’, amewataka wasichana wenzake kuwaepuka wanaume wa nanma hiyo.

“Mtu anayekutaka kinyume na maumbile ni mtu katili sana,” aliandika Faiza instagram “Wanawake wenzangu msikubali kufanyiwa hivyo, mwananume anaetaka kukufanyia hivyo ni adui na hana mapenzi zaidi ya kuiridhisha nafsi yake tu,”

“Na ukikubaliana nae anaona amepata boya, mifano nimeona mingi sana na wengi wanalia na wamebaki namaumivu na chuki, hata ukinunuliwa gari halita kuwa milele, hata ukiwa na nyumba hutakula matofali, ukipewa hela zitaisha, ukipewa kazi mkataba utaisha pia, ukiolewa baada ya muda utachoka kugeuzwa kila siku na ndoa itakua haina amani moyoni, maana kigezo sio cha kumpendeza Mungu lakini utu wako utabaki milele,” alifafanua.

“Pia siku zote usifike mwisho ukakosa plan b siku zote kuna plan nyingine maana wanawake tunatabia ya kujitolea tupate jambo fulani lakini si kweli kwamba bila kutoa nyuma utafeli kila sehemu, ukikutana na jambo kama hili basi acha tafuta kungine ! hakuna kisicho wezekana haijalishi una haso muda gani, usikubali kuna watu wame haso miaka 30 na akapata wa 31. Mungu anatoa kwa wakati sahihi,” aliongeza.
Aliongeza,

COMMENTS

Gossip
Name

Afya Gossip Lifestyle Love News Photos Shamsa Ford
false
ltr
item
Skendo za Town: Faiza Awataka Wasichana Kuwakimbia Wanaume wa Namna hii…
Faiza Awataka Wasichana Kuwakimbia Wanaume wa Namna hii…
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEje3pbxeFdhtM6WkwMXc2bC0BY3OzLQ4FTpm54ICxXLZ2BOO82LXJZrv3HdLrkw-yfG7y9FdLw7oQPAHcLOkeAf72SlcQfyW4MisgP7OG_fCHujF18CNan61k2NOcm3y3679_tiT8BtsLc/s1600/faiza+ally2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEje3pbxeFdhtM6WkwMXc2bC0BY3OzLQ4FTpm54ICxXLZ2BOO82LXJZrv3HdLrkw-yfG7y9FdLw7oQPAHcLOkeAf72SlcQfyW4MisgP7OG_fCHujF18CNan61k2NOcm3y3679_tiT8BtsLc/s72-c/faiza+ally2.jpg
Skendo za Town
https://skendozatown.blogspot.com/2016/08/faiza-awataka-wasichana-kuwakimbia.html
https://skendozatown.blogspot.com/
http://skendozatown.blogspot.com/
http://skendozatown.blogspot.com/2016/08/faiza-awataka-wasichana-kuwakimbia.html
true
2217560320485488389
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy